Kilo 2,207.56 za dawa za kulevya zakamatwa Tanga na Dar es Salaam
Kamishna wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Tanzania, Arestas Lyimo akizungumza na wanahabari leo Novemba 25, 2024 kuhusu kukamatwa kwa kilo 2,207.56 za aina mbalimbali za dawa katkka mikoa ya Tanga na Dar es Salaam.