Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko leo Ijumaa, Septemba 1,2023 Ikulu ndogo ya Zanzibar.
Ni baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumaliza kuwaapisha viongozi mbalimbali aliowateua akiwemo Dk Biteko.