Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali waliohudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Amani Zanzibar leo, Januari 12, 2024. Picha Ikulu