Mwananchi Picha MOTO WAUNGUZA SOKO LA TEGETA NYUKI 1/4 2/4 3/4 4/4 PREV NEXT Moto ulionza kuwaka usiku wa kuamkia leo katika soko la matunda na nafaka Tegeta nyuki limeteketeza fremu 14 na vizimba 81. Jeshi la zimamoto mkoa wa kinondoni likiendelea na uzimaji wa moto katika soko la nataka na matunda tegeta nyuki. Wafanyabiashara wa nafaka katika soko la Tegeta nyuki wakijaribu kuchambua mabaki ya nafaka kutokana na moto uliowaka usiku wa kuamkia leo.