Ujenzi wa miundombinu ya mabasi yaendayo haraka Awamu ya Nne (BRT 4) kuanzia Daraja la Kijazi (Sam Nujoma) - Mwenge - Maktaba ya Taifa (Posta) yenye urefu wa kilometa 13.5 utasababisha mbuyu mkubwa uliopo eneo la Mbuyuni wilayani Kinondoni, Dar es Salaam kung’olewa ili kupisha ujenzi wa barabara ambayo maandalizi yameshaanza kufanyika. Picha na Sunday George