Picha Nyalandu arejea CCM Ijumaa, Aprili 30, 2021 Photo: 1/2 View caption Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kati, Lazaro Nyalandu leo Ijumaa Aprili 30, 2021 amerejea CCM baada ya kukihama chama hicho tawala siku 1278 zilizopita. Photo: 2/2 View caption Login to join the discussion Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus.
PRIME Kutoka mipango, mauaji mpaka askari kunyongwa– 2 Walitenda kosa hilo, Januari 5, 2022, katika Kituo cha Polisi Mitengo wilayani humo.
PRIME Kutoka mipango, mauaji hadi askari kunyongwa-1 Hukumu ya kesi ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini yenye kurasa 60 na maneno zaidi ya 13,000 imejengwa juu ya ushahidi wa mashahidi 28 upande wa mashtaka, vielelezo 16 vya upande wa mashtaka...
Wengine wachukua fomu ubunge CCM, wamo waliokuwa wabunge wa Chadema Makada wa CCM wamezidi kujitokeza kuchukua fomu katika majimbo mbalimbali nchini wakiomba ridhaa ya kukiwakilisha Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 utakaohusisha...