Picha OCD Chico aliyefariki ajalini alivyoagwa Dar Jumanne, Machi 18, 2025 Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Polisi Wilaya ya Kipolisi Chanika jijini Dar es Salaam, SP Awadh Chico umeagwa leo Machi 18, 2025 na askari wenzake pamoja na ndugu jijini Dar es Salaam. Photo: 1/5 View caption Photo: 2/5 View caption Photo: 3/5 View caption Photo: 4/5 View caption Photo: 5/5 View caption Login to join the discussion Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus.
PRIME Makardinali wanaotajwa kumrithi Papa Francis Papa Francis amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88 baada ya kusumbuliwa na matatizo ya mapafu.
Papa Francis afariki dunia Papa Francis, Aprili 20, 2025 alikutana katika nyumba ya Mtakatifu Marta na Makamu wa Rais wa Marekani, James Vance.
Rais TEC: Serikali ikae na wadau wa uchaguzi, waliokamatwa waachiwe Askofu wa Jimbo Katoliki la Lindi, Wolfgang Pisa, amesema ni muhimu Serikali kukaa na wadau wa uchaguzi, kuruhusu mabadiliko ya lazima kabla ya uchaguzi mkuu wa baadaye mwaka huu.