Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi akitazama bweni la wavulana wa Shule ya Sekondari ya Kengeja lililoungua moto usiku wa Januari 31, 2024, alipotembelea shule hiyo iliyopo Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba, leo. Dk Mwinyi ameahidi kujenga upya shule hiyo pamoja na bweni lililoungua. Picha na Ikulu Zanzibar