Wadau wa Demokrasia, Wajumbe wa Baraza la Vyama vya Siasa, viongozi wa vyama vya siasa, pamoja na wageni mbalimbali wakiwa kwenye ukumbi wa kituo cha mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) kwa ajili ya mkutano maalum wa baraza hilo na wadau wa demokrasia.