Rais Samia apiga kura Chamwino uchaguzi serikali za mitaa
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipiga kura kwa ajili ya kuchagua viongozi kwenye Uchaguzi wa serikali za mitaa katika kitongoji cha Sokoine, Chamwino mkoani Dodoma leo Novemba 27, 2024. Picha na Ikulu