Picha Rais Samia awaapisha viongozi Ikulu, Dar Jumamosi, Mei 24, 2025 Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mara baada ya tukio la uapisho Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Mei 24, 2025. Photo: 1/4 View caption Viongozi wateule wakiapa kiapo cha maadili kwenye hafla ya uapisho iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Mei 24, 2025. Photo: 2/4 View caption Viongozi wateule wakiapa kiapo cha maadili kwenye hafla ya uapisho iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Mei 24, 2025. Photo: 3/4 View caption Photo: 4/4 View caption Login to join the discussion Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus.
CCM Ruangwa: Majaliwa hatogombea tena ubunge Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa hatogombea tena ubunge wa Ruangwa, Mkoa wa Lindi katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 2025.
PRIME Kutoka mipango, mauaji mpaka askari kunyongwa– 2 Walitenda kosa hilo, Januari 5, 2022, katika Kituo cha Polisi Mitengo wilayani humo.
PRIME Kutoka mipango, mauaji hadi askari kunyongwa-1 Hukumu ya kesi ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini yenye kurasa 60 na maneno zaidi ya 13,000 imejengwa juu ya ushahidi wa mashahidi 28 upande wa mashtaka, vielelezo 16 vya upande wa mashtaka...