Rais Samia Suluhu Hassan leo Jumanne Agosti, 6 2024, ameendelea na ziara yake mkoani wa Morogoro na kuzindua jengo la mafunzo lililopo katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) Kampasi ya Edward Moringe. Rais Samia pia ameweka jiwe la msingi katika ujenzi wa Kiwanda cha Sigara cha Serengeti (SCC), eneo la Kiwanda cha Uchakataji Tumbaku Mkwawa (MTPL). Picha zote na Ikulu