Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan na ujumbe wake wamefanya kikao cha pamoja na Rais wa China, Xi Jinping katika ukumbi wa The Great Hall of the People jijini Beijing, leo Jumatano, Septemba 4, 2024.
Pia, marais hao na Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema wameshuhudia uwekaji saini wa hati ya makubaliano ya kuboresha Reli ya Tanzania na Zambia (Tazara). Picha na Ikulu