Rais Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar , Omar Said Shaabani kuashiria ufunguzi wa jengo la kitega uchumi la Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC) lililopo Chakechake Pemba, leo Januari 9, 2024. Picha na Ikulu