Mmoja wa waumini wa dini Kiislamu akiwa amevaa barako alipoungana na waumini wenzake kushiriki ibada ya Idd El Fitri katika Uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma leo. Ibada hiyo ni hitimisho la Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Picha na Edwin Mjwahuzi
Photo: 1/4
Muumini wa dini ya Kiislamu akiwa amembeba mwanawe walipokuwa wakielekea msikitini kushiriki swala ya Idd El Fitri jijin i Dodoma leo. Picha na Edwin Mjwahuzi
Photo: 2/4
Muumini wa dini ya Kiislamu akiwa na watoto huku akiwa kabeba mswala kwa ajili ya kushirili swala ya Idd El Fitri katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma leo. Picha na Edwin Mjwahuzi
Photo: 3/4
Wanawake ambao ni waumini wa dini ya Kiislamu wakiwa katika Uwanja Jamhuri jijini Dodoma leo waliposhiriki swala ya Idd El Fitri. Picha na Edwin Mjwahuzi