Rais Samia Suluhu Hassan akibonyeza kitufe kuzindua matokeo ya Mwanzo ya Sensa ya Watu na Makazi katika Sherehe zilizofanyika kwenye uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma Oktoba 31, 2022. Katika uzinduzi huo, Rais Samia alitangaza idadi ya Watanzania kuwa ni Milioni 61,741,120 ambapo wanaume ni 30,053,130 na wanawake ni 31,687,990.