Picha Usalama wa abiria hatarini Ijumaa, Januari 12, 2024 Mwendesha baiskeli ya tairi matatu (guta) akikatiza barabara ya Morogoro, jijini Dar es Salaam huku akiwa amepakiza mzigo na abiria, jambo ambalo ni hatari kwa sheria za usalama barabarani. Picha na Said Khamis Photo: 1/1 View caption Login to join the discussion Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus.
Haya hapa matokeo ya kidato cha nne 2024 Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika kuanzia Novemba 11 hadi 29, 2024.
PRIME UCHAMBUZI WA MALOTO: Kwa heri Chadema ya Mbowe Mashambulizi ya jicho kwa jicho na kuvuana nguo. Vita ya maneno na mabadilishano ya ahadi kuhusu kesho ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Kilikuwa kipindi pevu cha mnyukano, hatimaye...
PRIME Upatanishi Chadema ni muhimu kama uji na mgonjwa Katika uchaguzi wa Chadema ambao kwa mtu yeyote mwenye akili atakubaliana na mimi kuwa umeacha majeraha makubwa, Tundu Lissu alichaguliwa kuwa Mwenyekiti kuchukua nafasi ya Freeman Mbowe...