Watoto wanne kati ya sita waliofariki dunia baada ya kuzama na kunasa kwenye tope katika bwawa la skimu ya umwagiliaji, Kijiji cha Ochuna wilayani Rorya, Mkoa wa Mara, wamezikwa kwenye eneo la pamoja katika kijiji hicho cha Ochuna. Picha na Beldina Nyakeke