Watuhumiwa waliotumwa na ‘afande’ watinga mahakamani siku ya nne
Washtakiwa katika kesi ya ubakaji wa kundi na kumlawiti binti wa Yombo Dovya jijini Dar es Salaam, wakiingia katika jengo la kituo jumuishi cha haki jinai jijini Dodoma tayari kwa ajili ya kuendelea na kesi hiyo. Picha na Hamis Mniha