Wizi wa mtoto wamwingiza matatani ahukumiwa kulipa faini ya sh 500,000 au Jela Miaka 2
Irene Sanga (19) Mkazi wa Changarawe Mjini Mafinga amehukumiwa kulipa faini ya Sh500,000 au kutumikia kifungo cha miaka miwili jela kwa kosa la kuiba Mtoto mwenye umri wa miaka minne. Picha na Mary Sanyiwa.