Ushuru wa nondo, mabati kutoka nje wapaa Kwa mujibu wa mapendekezo hayo, baadhi ya bidhaa za chuma zitatozwa ushuru wa asilimia 10 au dola za Marekani 125 kwa kila tani moja badala ya asilimia 10 pekee kwa mwaka hivi sasa.
Deni la Serikali lafikia Sh114.34 trilioni Kati ya kiasi hicho, deni la ndani lilikuwa Sh38.44 trilioni na deni la nje lilikuwa Sh75.89 trilioni.