Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Nchini (Tucta) limeitaka Serikali kuangalia upya utaratibu wa kuongeza mishahara kwasababu kuna baadhi ya watumishi wa umma wamebaguliwa kwa kutopata nyongeza hiyo.