Wabunge wataka abiria wote wa Precision walipwe bima
Wabunge wametaka abiria wote waliokuwa katika ndege ya Kampuni ya Precision Air iliyopata ajali iliyotokea Novemba 6, 2022 kulipwa madai yao ya bima mapema.