Mwananchi Video No video available. Waitara alikoroga kwa Spika, apewa onyo Mbunge wa Tarime Vijijini Mwita Waitara ameingia kwenye mtego wa Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson akitajwa kuwa amefanya kosa la utovu mkubwa wa nidhamu.