Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

847 results for Mgongo Kaitira :

  1. Serikali yapiga marufuku matangazo mubashara maandamano ya Gen ‘Z’ Kenya

    Hatua hiyo imetangazwa leo Jumatano Juni 25, 2025, kupitia taarifa kwa umma ya Tume ya Mawasiliano Kenya (CAK), ikiwa ni saa chache tangu waandamanaji hao maarufu kama ‘Gen Z’ waingie mitaani...

  2. Iran yawanyonga majasusi watatu wa Israel, yatangaza kuwasaka wengine

    Utekelezaji wa adhabu hiyo umefanyika leo Jumatano Juni 25, 2025 baada ya mahakama nchini Iran kuwakuta raia hao wa Israel na hatia ya kufanya ujasusi nchini Iran ikiwemo kuingia vifaa vya...

  3. Baba arejea nyumbani baada ya miaka 60 akiwa mikono mitupu

    Baba huyo wa watoto sita alirejea nyumbani kwake mwishoni mwa wiki iliyoisha akiwa na mkongojo na sanduku dogo, mali ya kipekee aliyopata akiishi Uganda kwa zaidi ya miongo sita.

  4. Gen ‘Z’ waliamsha tena Kenya, shule zafungwa Nairobi

    Japo haijafahamika lengo la vijana nchini humo kuingia barabarani hata hivyo, taarifa zinadai azma ya vijana hao ni kupinga hali ya maisha inayoendelea pamoja na kutoridhishwa na utendaji kazi...

  5. Marekani ilivyotekeleza mashambulizi ya siri Iran bila kugundulika

    Marekani ilitekeleza mashambulizi hayo kwa kutumia ndege hatari na ya kipekee inayotajwa kumilikiwa na Marekani pekee ya ‘Northrop B-2 Spirit’ ama ‘Stealth Bomber’ yenye uwezo wa kwenda kwa kasi...

  6. Iran yajibu mapigo Israel, yamuua jasusi wa Mossad

    Mashambulizi hayo yametekelezwa zikiwa zimepita saa chache tangu Marekani ishambulie vinu vya nyuklia vya Iran vilivyoko maeneo ya Fordow, Natanz na Isfahan.

  7. Marekani yaishambulia Iran, yenyewe yaapa kulipa kisasi

    Katika hotuba yake kwa umma, Trump amesema ndege za Jeshi la Marekani zimelenga na kushambulia vinu vya nyuklia vya Iran vilivyoko maeneo ya Fordow, Natanz na Isfahan.

  8. Mashambulizi ya Israel yaua raia 72 Gaza

    Mashambulizi yaliyofanywa na Jeshi la Israel (IDF) yamesababisha vifo vya raia 72 eneo la Gaza, wakiwemo 29 waliokuwa wakisubiria magari yenye misaada ya kibinadamu.

  9. Iran yashambulia hospitali Israel, yenyewe yalipua mtambo wa nyuklia

    Kombora lililorushwa kutoka Iran limelenga jengo la hospitali kuu iliyopo kusini mwa Israel na kusababisha majeruhi kadhaa, huku yenyewe ikijibu kwa kushambulia mtambo wa urutubishaji nyuklia.

  10. Iran yaionya Marekani, Khamenei agoma kusalimu amri

    Katika taarifa ambayo awali vyombo vya habari vya serikali ya Iran vilisema ingetangazwa katika runinga leo, Khamenei ametoa onyo kali kuwa Marekani inapaswa kufahamu kuwa Iran haitasalimu amri

Page 1 of 85

Next