Search

6034 results for Mwandishi Wetu :

  1. DC Jamila aagiza maofisa wanne TRA Mpanda wachunguzwe

    Kwa mujibu wa TRA Mpanda, kama mkuu wa wilaya katoa agizo la kuchunguzwa kwa maofisa wao wanne, wenye kutakiwa kuyatekeleza hilo watafuata utaratibu

  2. Waliokwama Lindi watia shaka saa 72 za Bashungwa

    Hata hivyo, Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema hatasita kubadilisha timu ya wataalamu na mkandarasi wanaoendelea na kazi ya kurejesha mawasiliano ya barabara hiyo kutokana na kasi ndogo...

  3. Refa wa Mamelodi, Yanga apewa fainali Ligi ya Mabingwa Afrika

    Dar es Salaam. Refa Beida Dahane ameteuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika kusimamia teknolojia ya video ya usaidizi kwa marefa (VAR) katika mechi ya kwanza ya fainali ya Ligi ya Mabingwa...

  4. Fast and Furious toleo la mwisho kuachiwa 2026

    Mwongozaji wa filamu ya ‘Fast & furious 11’, kutoka nchini Marekani LouisLeterrier amethibitisha kuwa toleo la mwisho la filamu hiyo litaachiwa mwaka 2026, ambapo utayarishaji wake...

  5. Vaa hadi wakushangae; Mtoko wa usiku Met Gala ulivyobamba

    Tamasha la mitindo la Met Gala kwa mwaka 2024 lilifanyika kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Sanaa ya Metropolitan huko New York, ambako yamekuwa yakifanyika kila mwaka.

  6. Mastaa Ligi Kuu wapigwa chini Taifa Stars

    Wachezaji watano walioitwa ambao wanacheza Ligi Kuu Bara ni Ally Salim wa Simba, Mukrim Abdallah (Ihefu), Abdulmalik Zacharia (Namungo), Baraka Mtuwi na Omary Abdallah (Mashujaa) pamoja na Khalid...

  7. Rihanna aikacha 'Met Gala' 2024

    Wakati wadau mbalimbali wakisubiri kuona muonekano wa mwanamuziki Rihanna katika usiku wa tamasha la mitindo duniani ‘Met Gala’ lililofanyika katika ukumbi wa ‘Metropolitan Museum of Art’...

  8. Rukwa yapata Sh6.5 bilioni za dharura kurejesha miundombinu ya barabara

    Mkoa wa Rukwa wapokea Sh6.5 bilioni kutoka Serikalini kwa ajili ya kufanya matengenezo ya dharura kwa miundombinu ya barabara na madaraja yaliyoharibiwa na mvua zinazoendelea kunyesha

  9. Serikali Kenya yasisitiza shule kutofunguliwa, mafuriko yakitikisa

    Hatua kali zitachukuliwa dhidi ya watakaobainika kukiuka mwongozo

  10. Serikali yaagiza huduma za dharura kwa waathirika wa kimbunga Hidaya

    Katika hatua ya kusaka hatua ya dharura, Serikali ya Tanzania imetaka huduma za haraka zipelekwe katika maeneo yaliyoathiriwa na Kimbunga Hidaya.

Page 1 of 604

Next