PRIME Wengi huoa, kuolewa nje ya machaguo yao Unajua kuna watu wameoa au kuolewa na wenza waliotafutiwa na wazazi wao?
Mwenza wako ana gubu, mpenda lawama? Katika muktadha wa makala haya, lawama ni hali ya kumtupia mwenza au mpenzi mzigo wa makosa, matatizo au hali mbaya inayojitokeza katika ndoa au uhusiano.
PRIME Ratiba ya kuoga inavyogonganisha wataalam, wananchi Primrose Freestone, mhadhiri mwandamizi wa microbiolojia katika Chuo Kikuu cha Leicester, amekuja na jibu ambalo ni habari mbaya kwa wanaopendelea kuoga usiku.
Wenza wa viongozi wawauma sikio wajasiriamali fursa daraja la JP Magufuli Umoja wa wenza wa viongozi wa kitaifa, Ladies of New Millennium Women Group, umewataka wanawake wajasiriamali kutumia daraja la JP Magufuli kupanua biashara zao ndani na nje ya Kanda ya Ziwa.
Tasaf ilivyoondoa adha ya huduma ya upasuaji Fumagila Wananchi wa Kata ya Kishili Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza, wameondokana na changamoto ya kusafiri umbali mrefu kufuata huduma za upasuaji baada ya kukamilika kwa ujenzi wa jengo la upasuaji...
PRIME Mfahamu Dk Alicia Massenga Mkurugenzi mpya wa Bugando Taarifa kwa umma iliyotolewa leo Jumatatu, Juni 23, 2025 na aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi wa hospitali hiyo, Dk Bahati Wajanga imesema Dk Alicia ataanza majukumu yake leo.
PRIME Uadilifu unavyotesa wanaume ndoa za mitala Ingawa mfumo huu umezoeleka katika baadhi ya jamii hasa za Kiafrika, bado unaibua mijadala mikali kuhusu haki, usawa, na ustawi wa familia.
Samia aonya ramli chonganishi kuelekea Uchaguzi Mkuu Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa kimila, hususani waganga wa kienyeji kujiepusha na ramli chonganishi kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025 ili zisilete uvunjivu wa amani.
Samia: Viongozi wa dini ponyeni mioyo ya watu Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa dini kuponya mioyo ya Watanzania katika kipindi hiki kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025 akieleza inatokea migogoro, kugombana na kutofautiana.
Rais Samia aonya utunzaji wa amani, azindua mradi wa maji Serikali imewataka Watanzania kudumisha amani n utulivu, kwa ajili ya maendeleo na sifa nzuri ya Tanzania.