Samia aonya ramli chonganishi kuelekea Uchaguzi Mkuu Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa kimila, hususani waganga wa kienyeji kujiepusha na ramli chonganishi kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025 ili zisilete uvunjivu wa amani.
Tanzania mwenyeji mkutano wa mabaraza ya vyombo vya habari Afrika Wakati jitihada mbalimbali za kuimarisha uhuru wa vyombo vya habari nchini zikiendelea kufanyika, Tanzania itakuwa mwenyeji wa mkutano wa kimataifa wa mabaraza ya habari Afrika.
Mchakato kuwarudisha Watanzania waliopo Israel, Iran waanza Serikali imeanza kuchukua hatua za haraka na za kiutendaji ili kuhakikisha Watanzania waliopo nchini Iran na Israel wanarejeshwa salama nchini.
Makao makuu nchi wanachama ushoroba wa kati kujengwa Tanzania Hilo limefanyika wakati ambao Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) zimebadilisha hati za ardhi ambao kila nchi itakwenda kujenga bandari kavu kwa mwenzake kwa ajili ya kuhifadhi...
Fedha za kuagiza mafuta nje ya nchi zapungua, sababu yatajwa Kati ya mwaka 2022 na 2024 fedha zilizotumika kuagiza mafuta nje ya nchi zimepungua kutoka Sh9.57 trilioni hadi Sh7.62 trilioni mtawaliwa, bei katika soko la dunia na matumizi ya gesi asilia nchi...
PRIME Sabasaba mpya ya saa 24 kujengwa kwa ubia Utekelezaji wake unalenga kuifanya Sabasaba kuwa kitovu cha kisasa kinachovutia wafanyabiashara wa ndani na nje ya nchi.
Sababu bima ya vyombo vya moto kuongoza, afya bado Sekta ya bima nchini inaendelea kushuhudia ukuaji mwaka hadi mwaka, huku bima ya vyombo vya moto ikiongoza kwa kuingiza mapato makubwa, ikifuatiwa na ya maisha, wakati ya afya ikishika nafasi ya...
IGP Wambura apangua vigogo Polisi, RPC Kinondoni aguswa Katabazi anatolewa kuwa kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma na kupelekwa ofisi ya makao Makuu ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai Dodoma.
Rais Samia afanya uteuzi, yumo mrithi wa Profesa Janabi Dk Delilah Kimambo anateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) ikiwa ni baada ya Profesa Mohammed Janabi kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kanda...
Rais Samia aeleza sababu kuifungua Dodoma Rais Samia Suluhu Hassan ametaja umuhimu wa kujengwa kwa miundombinu ya kisasa katika Jiji la Dodoma, akiwahimiza wananchi kuitumia miundombinu hiyo kuboresha na kukuza shughuli zao za kiuchumi.