Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1316 results for Bakari Kiango :

  1. ACT Wazalendo: Kuanzishwa tozo mwendelezo kuwaumiza wananchi

    Chama cha ACT Wazalendo kimesema mapendekezo ya Serikali kuanzisha tozo mpya kutadumaza fursa za kiuchumi na kupunguza uwezo wa wananchi kujikimu, badala ya kutoa unafuu kwa walioko katika...

  2. Kigogo CUF atimkia ACT Wazalendo, wenyewe wamjibu

    Aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CUF (Bara), Maftaha Nachuma amesema mapambano ya kweli ya haki za wananchi yanayofanywa na ACT Wazalendo, ndio sababu iliyomfanya kuhamia chama hicho, huku...

  3. Polisi yaeleza sababu kuzuia mkutano wa Heche, wanahabari

    Muliro amesema Jeshi la Polisi limesimamia sheria kama ambavyo mamlaka zingine za dola zilivyoagiza, hivyo si sahihi kwa watu au kundi fulani kwenda kinyume.

  4. UDSM yamtunuku Rais AfDB udaktari wa heshima

    Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dk Akinwumi Adesina ametunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa sayansi na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam 'honoris causa' kutokana na mchango wake wa...

  5. Dizeli, petroli, pombe, shisha zaongezwa kodi Zanzibar

    Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) kwa mwaka wa fedha 2025/26 imependekeza kuongeza viwango vya ushuru katika bidhaa mbalimbali, zikiwamo dizeli, petroli, pombe kali, mvinyo na...

  6. SMZ yapandisha ushuru wa mafuta, masheha waongezwa mshahara

    Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) kwa mwaka wa fedha 2025/2026 imependekeza kuongeza viwango vya ushuru katika bidhaa mbalimbali, zikiwemo dizeli, petroli, pombe kali, mvinyo na...

  7. ACT Wazalendo yawapigia rada wabunge 19 wa Chadema

    Uamuzi wa ACT Wazalendo kuongeza muda kwa makada wake kuchukua na kurudisha fomu za ubunge na udiwani, una mengi yaliyojificha nyuma yake, Mwananchi limebaini.

  8. UCHAGUZI MKUU 2025: Taasisi ya JK Nyerere yataka rushwa idhibitiwe

    Taasisi hiyo imeeleza kuwa jambo hilo likifanyika watakuwa wanamuenzi vema muasisi ya Taifa hili, hayati Julius Nyerere ambaye alikuwa mkali inapofika uchaguzi, akipinga vita vitendo vya wagombea...

  9. Wanasiasa wahimiza utii wa sheria, haki na wajibu wakiadhimisha Eid

    Katika kuadhimisha sikukuu ya Eid El-Adh'haa viongozi wa kisiasa wamehimiza kukuza umoja wa kitaifa, kuelimisha kuhusu majukumu ya kidini kwa mujibu wa sheria, wakiweka mkazo juu ya utawala wa...

  10. PRIME Masheikh, wanasiasa wataka uchaguzi huru, haki

    Viongozi wa dini ya Kiislamu nchini wamehimiza umuhimu wa kudumisha amani kama msingi wa haki, maendeleo na utekelezaji wa ibada, wakitoa wito kwa Watanzania kuepuka kauli za chuki au uchochezi...

Previous

Page 2 of 132

Next