Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

99 results for Christian Bwaya :

  1. PRIME Umejiuliza ulionao ni watoto au mitoto?

    Mitoto, tofauti na watoto, ni dharau tunayokuwa nayo kwa watoto, tukiamini hawana uwezo, hawajielewi na hakuna kitu wanaweza kufanya tukatambua.

  2. PRIME Mtoto asiyependwa nyumbani hawezi kupenda

    Tuna kizazi kipya cha wazazi wanaothamini vitu kuliko kitu kingine chochote. Tunatumia muda mwingi kazini, kwenye biashara, na shughuli nyingine za kutafuta vitu.

  3. Hakuna mtoto anayezaliwa na ukorofi

    Tafiti zinaonesha kuwa majambazi wengi na watu walioshiriki kufanya matukio ya kikatili hawakuzaliwa na ukatili huo. Hakuna mtoto anayezaliwa kibaka, mhuni, mkorofi na jambazi. Sote tunazaliwa na...

  4. PRIME Mrema aihoji Chadema maswali matano kupigwa kigogo wa Bawacha

    Sigrada anadaiwa kupigwa Machi 25, 2025 na mmoja wa walinzi wa Chadema kwenye kikao cha ndani kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Bara, John Heche.

  5. Tuwafundishe watoto kuelewa hisia za wenzao

    Badala ya kuwarekebisha waelewe makosa yao, tunawaambia maneno yanayoongeza tatizo.

  6. Hatari ya wazazi kuhamishia majeraha ya kihisia kwa watoto

    Silengi kumfanya mzazi ajisikie hatia bali aone umuhimu wa kumlinda mtoto na kile kinachoendelea kwenye maisha yake.

  7. PRIME Mambo sita anayohitaji kuyasikia mwanao

    Kuna mtu aliwahi kunukuliwa akisema, ‘watoto ni watu wazima wenye miili midogo.’ Hakuwa amekosea.

  8. Yape maisha yako nafasi ya utoto

    Uelewa wa nini kinamfanya mtu ahesabike kuwa mtoto na wakati gani watoto hukoma kuitwa watoto na kuingia kwenye utu uzima, unatofautiana katika jamii zetu.

  9. Mtoto wako anafurahia utoto wake?

    Hebu fikiria mtoto asiyeruhusiwa kufanya makosa. Kila analojaribu kufanya, anapodadisi mazingira yake, anakuwa anatafsirika kama mtoto asiye na nidhamu na adabu kwa watu wazima.

  10. PRIME Msaidie hivi mtoto kukabiliana na hisia

    Uchanga wa kihisia unachangiwa na malezi yanayowanyima watoto fursa ya kutambua hisia zao. Kwa kujua kuwa hisia fulani hazikubaliki, watoto hujifunza kuficha na kukana hisia zao ili wawe salama.

Previous

Page 2 of 10

Next