PRIME Unajua tabia ulizonazo zinatokana na kundi lako la damu? Mbali na tabia, ukweli ni kwamba makundi yetu ya damu yanaweza kutuonyesha pia vile mtu anavyopendelea na asivyopendelea, kazi anazopendelea, watu anaowapendelea na hata vyakula.
PRIME Faida na hasara za majibizano kwenye uhusiano Sidhani kama kuna ambaye hajawahi kujikuta kwenye majibizano na mpenzi wake, ziko hata nyakati mnaingia katika mlipuko wa majibizano hata mnashindwa kujua sababu ya kujibizana kwenu.
PRIME Kwa nini wazazi wawe kikwazo cha mtoto kuoa, kuolewa? Vuta picha umekwenda kumtambulisha mchumba unayetarajia kumuoa wazazi wakamkataa, wa pili pia, hali hiyo ikajirudia kwa wa tatu.
PRIME KONA YA MAUKI: Chanzo msongo wa mawazo kuwa tatizo la familia nyingi Ukosefu wa muda unaonekana kuwa tatizo kwa wanafamilia wengi, wengi huwahi sana kutoka nyumbani mapema asubuhi na kuchelewa sana kurudi, hakuna siku shughuli zimepungua au kwisha.
PRIME KONA YA MAUKI: Ifahamu Migogoro ya kihaiba na namna ya kuitatua Kwa kawaida, popote haiba mbili tofauti zinapogongana lazima mgogoro hutokea, ingawa hali hii inaweza kupunguzwa au hata kuepukwa kabisa.
PRIME Njia 10 za kumuadabisha mtoto Katika kila jambo unalofanya kwa watoto wako, iwe ni kwa maneno au vitendo, elewa kwamba lengo kuu ni kuwafundisha na kuwasaidia kuelewa.
PRIME KONA YA MAUKI: Jinsi ya kushughulikia migogoro Katika maisha yetu ya kila siku, iwe kazini, ofisini au nyumbani, migogoro ni asili na sehemu ya maisha yetu. Ukweli ni kwamba maisha yangekosa uhalisi pasipo kuwa na migogoro hii. Hii...
PRIME Manufaa ya lugha ya mwili kwenye mawasiliano Ni muhimu kila mara kujikumbusha umuhimu wa lugha ya mwili, kwani huchangia siyo tu kujielewa binafsi, bali pia kuhakikisha ujumbe tunaopeleka kwa wengine unafika kama ulivyokusudiwa.
PRIME Mambo haya yanaharibu ufanisi wako kazini Tofauti kati ya maeneo ya biashara, ujasiriamali, kazi za kuajiriwa, au shughuli nyinginezo kama matumizi ya barabara na maisha ya familia, mara nyingi hujikita katika maadili yanayotawala maeneo...
PRIME Hizi hapa tabia zitakazokuwezesha kuwa na furaha maishani Wapo ambao mtazamo wao ni kwamba ili uwe na furaha lazima uhakikishe una pesa nyingi. Watu wa namna hii mali na ukwasi ndio chanzo kikuu cha furaha