VIDEO: Alfajiri ya simanzi iliyomsababishia upofu Alfajiri ya Agosti 13, 2024 haiwezi kufutika kichwani mwa Esther Makaranga (25) kutokana na tukio lililobadili maisha yake.
Nchi 16 zakutana Tanzania kujadili ubora wa elimu Imeelezwa kuwa, miaka ya karibuni kumekuwa na mabadiliko yanayojitokeza katika mifumo ya elimu yakisababishwa na majanga hivyo ni muhimu kwa nchi kuwa na hatua za tahadhari
Wanawake vinara matumizi ya skanka Skanka ni jina la mtaani linaloitambulisha bangi yenye kiwango kikubwa cha sumu (TetraHydroCannabinol - THC) ikilinganishwa na bangi ya kawaida
Ya Engonga yaweza kutokea kwenye familia yako Juma lililopita karibu habari kubwa mitandaoni ilimhusu Bartazary Engonga, aliyekuwa Mkurugenzi wa Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Upelelezi wa Fedha Equatorial Guinea.
Kilio cha dawa kwa wenye changamoto ya afya ya akili Mtaalamu wa saikolojia, Saldin Kimangale anasema wagonjwa wanaopatiwa matibabu nyumbani hutumia takriban Sh30,000 kwa mwezi.
Afya ya akili tishio kwa watoto wa kike Dar es Salaam. Oktoba 11, Tanzania ilipoungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha siku ya mtoto wa kike, ilielezwa kuwa kundi hilo liko kwenye hatari kubwa ya kupata matatizo ya afya ya akili...
Vijana kupenda ‘mashangazi’…Tatizo linaanzia hapa Oktoba 21 akiwa katika mkutano wa kitaifa wa utafiti na maendeleo, Dk Mpango aligusia suala la maadili na kueleza namna anavyosikitishwa na idadi ya vijana wanaoingia kwenye uhusiano na...
Changamoto hizi chanzo tatizo la afya ya akili mapema na watafute msaada katika vituo vya afya, huku wakipata usaidizi kutoka kwa wapendwa wao. Dk Edward Kija, mtaalamu wa magonjwa ya ubongo na mfumo wa fahamu, aliongeza kuwa hali ya...
Zawadi hewa janga kwa maharusi, jamii Kupitia mitandao ya kijamii zimekuwepo video zinazowaonesha maharusi wakipokea zawadi mbalimbali kutoka wanakamati, wazazi na wageni waalikwa ambazo zimezua mjadala.
Bila elimu sahihi ya fedha kausha damu itatumaliza Hivi karibuni nimemsikia Mkurugenzi Mtendaji wa Umoja wa Mabenki Tanzania (TBA) Tuse Joune akizitaka taasisi za fedha zikiwemo benki kuweka nguvu kwenye utoaji wa elimu ya fedha kwa wananchi.