CAG: Sh1.14 trilioni zilizokusanywa na TRA hazikupelekwa panapohusika
Hata hivyo, Wizara ya Fedha ilihamisha Sh1.44 trilioni pekee kwenda mifuko hiyo husika, hivyo salio la Sh1.14 trilioni sawa na asilimia 44 ya jumla ya fedha zilizokusanywa, hazijapelekwa kwenye...