Search

39 results for Gasper Andrew :

  1. Sita wafukuzwa kazi Shinyanga

    Watendaji sita katika Halmshauri ya Wilaya Shinyanga wafukuzwa kazi kutokana na makosa mbalimbali likiwamo la utoro kazini.

  2. 16 mbaroni madai ya kuiba maiti kaburini

    Msako uliofanywa uliwezesha kupatikana kwa mwili huo ukielea kwenye kisima cha maji chenye urefu wa futi 12

  3. Radi yapiga wapenzi wakizini, yaua mmoja

    Mkazi wa Kijiji cha Masweya Kata ya Mtunduru Wilaya ya Ikungi, Vaileth Hassan Mtipa (32) amefariki dunia baada ya kupigwa na radi wakiwa wanazini na mume wa mtu kwenye pagale la nyumba.

  4. Uchaguzi mkuu ni mtifuano Chadema

    Ni mtifuano. Ndivyo unavyoweza kuelezea kile kitakachojiri ndani ya Chadema utakapowadia wasaa wa kutafuta wagombea ubunge wa chama hicho katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.

  5. Lema anyimwa dhamana, DC atoa maelezo ya vifo Manyoni

    Sakata la mauaji ya watu 14 katika wilaya ya Manyoni mkoani Singida limechukua sura mpya baada Mkuu wa Wilaya ya Manyoni, Rahabu Mwagisa kutoa maelezo ya mazingira ya vifo hivyo yanayotofautiana...

  6. Uchaguzi jimbo la Lissu mwendokasi

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza ratiba ya uchaguzi wa ubunge wa Singida Mashariki ambayo inaonyesha kuwa kampeni katika jimbo hilo lenye kata 13 na vijiji 50 zitafanyika kwa siku 12 tu.

  7. VIDEO: Polisi wamtafuta mfanyabiashara Mo Dewji Bahari ya Hindi

    Alhamisi asubuhi Oktoba 11, 2018 mfanyabiashara Mohammed Dewji ‘Mo Dewji’ alitekwa katika Hoteli ya Colosseum na Jeshi la Polisi limesema linaendelea kuimarisha ulinzi huku likifanya uchunguzi...

  8. Kujitoa kwa vyama sita kwaipa CCM ushindi mnono

    Vyama vilivyosusia uchaguzi huo vikitaka kwanza kukutana na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kujadili changamoto zilizojitokeza katika uchaguzi wa madiwani kwenye kata 43

  9. Mwigulu, Nape, Profesa Lipumba wafunga kampeni kwa tambo

    Kampeni za uchagizi mdogo wa ubunge na udiwani utakaofanyika zimefungwa leo kwa wagombea na wapambe wao kutoa tambo mbalimbali.

  10. Krismasi ilikuwa shwari - Polisi

    Msemaji wa Jeshi hilo, Barnabas Mwakalukwa alisema jana kuwa hali ilikuwa shwari japo kulikuwa matukio madogo ya uhalifu.

Previous

Page 2 of 4

Next