Kilichojili kesi ya kanisa kumnyang’anya zawadi mtoto wa Askofu Sepeku Mahakama Kuu, Divisheni ya Ardhi, imepanga Julai 18, 2025 kuendelea na usikilizwa katika kesi ya ardhi iliyofunguliwa na mtoto wa Askofu John Sepeku, Bernardo Sepeku dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa...
Kesi ya kanisa kumnyang'anya zawadi mtoto wa Askofu Sepeku kuunguruma leo Katika kesi hiyo ya ardhi namba 378/2023, Bernado ambaye ni msimamizi wa mirathi ya baba yao anapinga kunyang’anywa zawadi ya kiwanja alichopewa baba yao.
Aliyekutwa na vipande saba vya kiboko, ahukumiwa kifungo cha nje Mshtakiwa huyo na wenzake wanadaiwa kukutwa na nyara hizo za Serikali bila kuwa na kibali kutoka kwa mkurugenzi wa wanyamapori nchini, jambo ambalo ni kosa kisheria.
Jalada kesi ya anayedaiwa kujifanya Polisi, kwenda Uturuki kununua silaha lipo kwa DPP Hayo yameelezwa na Wakili wa Serikali, Frank Rimoy mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Jumatatu, Juni 23, 2025 wakati kesi hiyo ilipokuja kwa ajili ya mshtakiwa kusomewa hoja za awali...
Kesi ya wanafunzi kumshambulia mwenzao yapigwa kalenda, wazua mshangao kortini Serikali imeieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa upelelezi katika kesi ya jinai inayowakabili wanafunzi watatu wa vyuo vikuu, likiwemo la kusababisha madhara ya kimwili, bado unaendelea.
TLS, mawakili wa Serikali wasaini ushirikiano masuala ya kisheria Wakili Mkuu wa Serikali, Dk Ally Possi amesema Serikali itashirikiana na vyama viwili vya mawakili katika masuala ya kisheria, utatuzi wa migororo, kupeana uzoefu, ujuzi na mafunzo kwa lengo la...
PRIME Samia amteua Masaju Jaji Mkuu, wadau wataja yanayomsubiri Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani, George Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania huku wadau wa masuala ya sheria wakizungumzia umahiri wake na mambo yanayomsubiri
Hizi hapa faida za uji wa kimea Baadhi ya mbegu hizo ni jamii ya mikunde, mahindi, mtama, ulezi, uwele, choroko, maharage na nyingine.
Upelelezi kesi ya kuporomoka jengo Kariakoo, haujakamilika Upande wa mashtaka katika kesi ya kuua bila kukusudia inayowakabili watu sita wakiwemo wamiliki wa jengo lililoporomoka mtaa wa Mchikichi na Congo, eneo la Kariakoo, umedai kuwa bado unaendelea...
'Bwana harusi' aliyeiba gari, apigwa faini ya Sh500,000 Masawe alikuwa anakabiliwa na mashtaka mawili ambayo ni wizi wa gari aina ya Toyota Ractis lenye thamani ya Sh15 milioni