Wananchi: Mipaka ya msitu Kigosi Myowosi ipimwe upya kudhibiti mauaji Wakazi wa Kijiji cha Mpanda Mlowoka wilayani Kaliua mkoani Tabora wameiomba Wizara ya Maliasili na Utalii kupima upya mipaka ya hifadhi ya misitu ya taifa ya Kigosi Muyowosi na kijiji chao kwa...
Simba, Pamba zapigwa faini za mamilioni Klabu ya soka ya Pamba Jiji ya Mwanza imepigwa faini ya Sh, 5 milioni kwa kosa la maafisa wake kuingilia mazoezi ya klabu ya Simba siku moja kabla ya tarehe ya mchezo tajwa kwenye Uwanja wa CCM...
Mawakala CCM, Chadema wakimbia na maboksi ya kura Nzega Mawakala wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Jimbo la Bukene na Wakala wa Chama Cha mapinduzi (CCM) Jimbo la Nzega vijijini, wamekimbia na maboksi ya kupigia kura baada ya...
Singida BS yakwama kuzishusha Yanga, Azam Matokeo ya kufungana mabao 2-2 waliyopata Singida Black Stars dhidi ya Tabora United kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa leo Novemba 25, 2024 kwenye Uwanja wa Alli Hassan Mwinyi mkoani...
Tabora Utd Vs Singida BS kuchezwa kesho saa 4 asubuhi Mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Tabora United dhidi ya Singida Black Stars uliokuwa uchezwe leo Novemba 24 kwenye Uwanja wa Ally Hassan Mwinyi Tabora umeahirishwa baada ya mvua kubwa kunyesha na...
Mgombea wa ADC serikali za mitaa afariki dunia Akizungumza na Mwananchi leo Novemba 23, 2024, mtoto wa marehemu, Lintu Mshindo ambaye ni msemaji wa familia, amesema baba yao alifariki Novemba 21, 2024 baada ya kuugua ghafla wakati akiendelea...
Wanne mbaroni kwa tuhuma za wizi wa mifuko 600 ya mbolea Sikonge, Tabora.Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora linawashikilia watu nne kwa tuhuma za kuuza mifuko 600 ya mbolea aina ya NPK 101824 inayotumika kupandia tumbaku. Mbolea hiyo, yenye thamani ya Sh88...
Dk Mpango atoa rambirambi familia ya mtendaji aliyeuawa Tabora Marehemu Said Maduka ameacha watoto wanane kwa wake wawili, hivyo rambirambi iliyotolewa imegawanywa kwa wanawake zake wawili pamoja na mama mzazi wa marehemu.
Watatu wauawa Tabora kwa tuhuma za mauaji Watu watatu wameuawa na kisha kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali kwa tuhuma za kumuua kisha kumkata sehemu za siri pamoja na titi, Sagali Masanja (62), tukio lililotokea Novemba 14, 2024...
Ubunifu nishati mbadala suluhu utunzaji mazingira Mwaka 2018, Kampuni ya Kuja na Kushoka, inayomilikiwa na Kushoka iliibuka mshindi wa kwanza kitaifa kwenye mashindano ya ubunifu wa mkaa mbadala yaliyoratibiwa na Wizara ya Muungano na Mazingira.