Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

847 results for Mgongo Kaitira :

  1. Televisheni ya Taifa ya Iran yashambuliwa, yatoa kauli

    Shambulio hilo lilikatiza matangazo kwa muda, ambapo mtangazaji aliondoka hewani katikati ya kipindi huku studio ikifunikwa na vumbi na moshi uliotokana na shambulio hilo. IRIB Ilionyesha jengo...

  2. Ndege nyingine ya India yapata hitilafu angani, yatua kwa dharura

    Mamlaka ya usimamizi wa viwanja vya ndege Hong Kong zimesema ndege hiyo ambayo ilitua Hong Kong salama, ilifanyiwa ukaguzi na kuruhusiwa kubeba abiria kwenda India hata hivyo, lengo hilo...

  3. Iran yaishtukiza Israel, idadi waliouawa yashtua

    Miongoni mwa viongozi wa Iran waliouawa kwenye shambulizi la Jumamosi Juni 14, 2025, ni pamoja na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), Jenerali, Hossein Salami na Jenerali, Amir Ali...

  4. Ajali ya ndege yaua 241 India, mmoja anusurika

    Kwa mujibu wa Hindustan Times, manusura wa ajali hiyo akizungumza hospitalini alipolazwa akipatiwa matibabu amewaeleza kuwa baada ya kupata fahamu ameshuhudia miili ikiwa imetapakaa ndani ya...

  5. Ajali ya ndege yaua abiria 242, hakuna aliyepona

    Ndege hiyo iliyokuwa na jumla ya abiria na wahudumu 242 imeanguka saa 7:38 mchana leo Alhamisi Juni 12, 2025, dakika chache baada ya kuruka kutoka Uwanja wa Ndege Ahmedabad nchini India.

  6. Ndege yaanguka ikiwa na abiria 242, yawaka moto

    Ndege hiyo inadaiwa kudondoka ardhini muda mfupi baada ya kupaa kutoka uwanja wa ndege wa Ahmedabad Saa 7:38 mchana leo Alhamisi, Juni 12, 2025.

  7. Polisi yaomba radhi kwa kudanganya taarifa za kifo cha mwanablogu

    Mkuu wa Polisi nchini Kenya (IGP), Douglas Kanja amewaomba radhi wananchi wa Kenya kwa taarifa ya uongo iliyotolewa na Idara ya Kitalfa ya Polisi nchini humo (NPS) kuhusu kifo cha mwalimu na...

  8. Uchunguzi waibua mapya mwanablogu aliyefariki kituo cha polisi

    Uchunguzi wa mwili umebaini kuwa Mwalimu na Mwanablogu wa Kenya, Albert Ojwang aliyefariki akiwa mikononi mwa polisi alipigwa kichwani na kifo chake huenda kilisababishwa na kupigwa.

  9. Miji hii kwa kunguni usipime

    Taasisi ya Terminix imetoa orodha yake ya kila mwaka ya miji 50 yenye shida kubwa zaidi ya kunguni nchini Marekani huku ikiwataka wananchi wanaotarajia kusafiri na kubadilisha mazingira msimu huu...

  10. Mfahamu Turbay mgombea urais aliyepigwa risasi, mama yake aliuliwa na Pablo Escobar

    Shirika la Habari la Associated Press limeripoti kuwa Uribe Turbay ambaye ni Seneta wa chama cha kihafidhina nchini Colombia, alipigwa risasi na kujeruhiwa vibaya wakati wa mkutano wa kampeni...

    New Content Item (1)
Previous

Page 2 of 85

Next