Utajiri wa nchi unavyohamishwa kupitia vivutio kwa wawekezaji
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa bungeni na Wizara ya Fedha, Septemba 2023, hadi Juni 30, 2023, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) hadi wakati huo ilikuwa imesajili jumla ya walipakodi takribani...