Serikali ilivyopangua ‘dili’ utoroshaji almasi ya Sh1.7 bilioni usiku ‘’Serikali ina mkono mrefu’’ Huo ndio usemi unaofaa kutumika kueleza jinsi Serikali inavyong’ámua na kudhibiti mbinu kutorosha madini nje ya nchi.
PRIME Yanayotokea ni kukiua, kukiimarisha Chadema? Msimamo huo unakinzana na ule wa chama kudai kwanza mabadiliko ya sheria na mfumo wa uchaguzi kupitia kampeni yenye kaulimbiu ya ‘No reforms, No election.’
Chadema walivyohitimisha No reforms, no election kanda ya ziwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimehitimisha operesheni ya No reforms, no election ‘bila mabadiliko hakuna uchaguzi’ katika kanda za Victoria na Serengeti kikiwahimiza wananchi...
PRIME Mambo sita yaisubiri Kamati Kuu Chadema Kikao hicho kitafanyika katika kipindi ambacho misukosuko inayoikumba Chadema, suala kujivua uanachama huenda likatawala kutoka historia ya tangu kuanzishwa kwa chama hicho, haijawahi kutoka...
Chadema yaitisha Kamati Kuu Mei 21, Baraza Kuu lanukia Tangu kumalizika kwa mkutano mkuu wa uchaguzi wa chama hicho, Januari 22, 2025 na Lissu kuibuka mshindi wa uenyekiti dhidi ya Freeman Mbowe aliyekuwa anatetea nafasi hiyo aliyoishika kwa miaka...
Chadema yamtumia mke wa Lissu kisa Golugwa kuzuiwa IDU Amesema Serikali ya CCM inaogopa mabadiliko kwa sababu itaondoa mianya inayotumika kuwaengua wagombea kupitia vyama vya upinzani.
Heche atumia Simba, Yanga kunadi 'No reforms, no election' Shinyanga Amedai haiba ya CCM mbele ya umma imeshuka, ndio maana inahofia mabadiliko ikijua Watanzania watainyima kura na kuiondoa madarakani iwapo uchaguzi utakuwa huru na haki.
Mnyika: Chadema hatuna timu Mbowe wala timu Lissu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika amesema makundi yote yaliyoundwa kuunga mkono wagombea wakati wa uchaguzi wa ndani wa chama hicho yalivunjwa baada ya...
Chadema yaishukia Chauma, Hashimu Rungwe akitupia ‘bomu’ Viongozi wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema), wametegua kitendawili cha chama gani watajiunga nacho wanachama na makada wa chama hicho wanaojivua uanachama.
Heche: Hatutaogopa vitisho vya kesi, jela kudai mabadiliko “Hakuna kesi, vitisho, mahabusu ya polisi wala gereza itazuia kiu ya mabadiliko mioyoni mwa Watanzania," amesema Heche.