Serikali kujenga shule maalumu ya wavulana Kanda ya Ziwa
Akizungumza leo, Jumatatu Juni 16, 2025, mara baada ya kuzindua Shule ya Wasichana ya Mkoa wa Simiyu, Rais Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali haitabagua jinsia katika uwekezaji wa elimu ya...