JKT yaeleza sababu ya kuanzisha bustani za wanyamapori Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele amesema kuanzishwa kwa bustani za wanyama ndani ya kambi za jeshi hilo ni sehemu ya kuongeza vyanzo vya mapato vinavyoweza...
Dereva wa Tanesco aliyefariki ajalini alistaafu mwaka jana Wakati Haule akizikwa Kibaha mkoani Pwani leo, mwili wa Nyamo-Hanga unatarajiwa kuzikwa kesho nyumbani Migungani mjini Bunda.
Kikwete: Samia akichaguliwa tena Taifa litaendelea kupata maendeleo makubwa Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete, amesema Rais Samia Suluhu Hassan akichaguliwa tena katika uchaguzi mkuu ujao, Taifa litapiga hatua kubwa zaidi katika maendeleo.
Kilio cha maji historia kwa wananchi wa Kwala, Mwembengozi Kilio cha maji historia kwa wananchi wa Kwala, Mwembengozi
Kumekucha Kibaha, Mwenge ukiwashwa leo Wakati uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa ukitarajia kufanyika leo Aprili 2,2025 mjini Kibaha Mkoa wa Pwani, shamrashamra za tukio hilo zimepamba moto na kusimamisha baadhi ya shughuli...
Itungwe sheria kubana watoto kutunza wazazi Wito wangu kwa Serikali juu ya hili ni kutunga sheria maalumu itakayowalazimisha vijana, wanaomaliza masomo na kupata kazi, kuwahudumia na kuwajali wazazi wao kimatunzo.
Viongozi CWT watakiwa kuacha uanaharakati Mbunge wa Kibaha Mjini, Mkoa wa Pwani, Selvestry Koka amekemea vitendo vya uanaharakati ambao umekuwa ukijitokeza kwa baadhi ya viongozi wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) mkoani humo, kwamba...
Vita dhidi ya utumikishwaji watoto hawa imetushinda? Watoto hawa utawaona wakiwa barabarani au vijiweni wakiuza bidhaa mayai maji, karanga, ubuyu nyinginezo.
Watendaji waonywa kuingilia migogoro ya ndoa Kitendo cha baadhi ya maofisa watendaji wa kata nchini kujigeuza kuwa wasuluhishi na waamuzi wa migogoro ya ndoa na ardhi bila kufuata utaratibu, kimeelezwa kinasababisha uvunjifu wa amani katika...