Makalla ataja mambo sita watakayofanya uchaguzi mkuu 2025 Mambo hayo ni pamoja na utekelezaji wa Ilani ya CCM, kupeleka wagombea wenye sifa, kuheshimiana kwa kutumia utaratibu wa 4R, kutokuwa na kampeni za kubeza wala matusi vyama vingine na kulinda...
PRIME Wiki ya lala salama bungeni, mawaziri… Uhai wa Bunge hilo, lililozinduliwa Novemba 13, 2020 na Rais wa awamu ya tano, hayati John Magufuli, litahitimishwa Ijumaa ya Juni 27, 2025 kwa hotuba ya kulifunga itakayotolewa na Rais Samia...
Vikundi 467 havijaresha mikopo ya asilimia 10 Dodoma Vikundi 467 vilivyopewa mikopo ya asilimia 10 ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu havijaresha Sh1.2 bilioni walizopewa na Halmashauri ya jiji la Dodoma.
Wabunge wataka tozo za miamala zipunguzwe Baadhi ya wabunge wamesema tozo kubwa zinazotozwa kwenye miamala ya kielektroniki kupitia benki na simu zimekuwa kikwazo kwa wananchi, hali inayochangia watu wengi kuepuka kutumia huduma hizo za...
Mambo 10 ya kuzingatia vijana wanaojiunga JKT Meja Jenerali Mabele amewatoa hofu vijana kuwa jeshini hakuna mateso bali kuna mafunzo yanayolenga kuwafanya kuwa wakakamavu.
Jina la Rais Samia linavyotumiwa turufu ya wabunge kurudi mjengoni Zikiwa zimebakia siku 11 Rais Samia Suluhu Hassan kulifunga Bunge la Tanzania, wabunge wameanza kuaga na kutumia mjadala wa bajeti kuu kwa kutakiana mema katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025.
Tanzania yasaini mkataba wa kihistoria kuongeza akiba ya dhahabu Uamuzi huo umekuja wakati BoT ikiongeza kasi ya kununua dhahabu kutoka soko la ndani kwa ajili ya kukuza akiba ya taifa ya fedha za kigeni.
PRIME Wabunge watwishwa zigo la bajeti kuu Wakati wabunge kesho Jumatatu, Juni 16, 2025 wakianza kujadili makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka 2025/26, Watanzania wameshauri wajielekeze kuibua vyanzo vipya vya mapato...
Tarehe kuvunjwa mabaraza ya madiwani hadharani, Mchengerwa atoa maelekezo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa ametangaza kuwa mabaraza yote ya madiwani nchini yatavunjwa rasmi ifikapo Juni 20, 2025.
Kibano kwa waagizaji mbolea zisizozingatia afya ya udongo chaja Serikali imesema baada ya kukamilika kazi ya upimaji wa afya ya udongo nchini, itapiga marufuku uagizaji wa mbolea zisizozingatia mahitaji ya udongo husika, kwa lengo la kulinda afya ya ardhi na...