Wazabuni wazawa watengenezewa njia kunufaika fursa za sheria mpya Wakati Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) ikija na mfumo wa kidijitali wa ununuzi wa umma (Nest), mamlaka hiyo imewasihi wazabuni wazawa na wafanyabiashara kote nchini kujisajili.
Hekaheka saa 72 barabara Dar- Kusini ilivyokatika na kurejeshwa Zaidi ya saa 72 zimetumika kurejesha mawasiliano ya barabara ya Dar es Salaam na mikoa ya kusini iliyokatika Aprili 6, 2025 kutokana na mvua kubwa iliyonyesha Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi.
Mbinu kwa wanajamii kukabiliana athari za mabadiliko ya tabianchi Wakati makali ya mabadiliko ya tabianchi yakiendelea kushuhudiwa maeneo mbalimbali duniani Tanzania ikiwemo, wadau wa kuhimili mabadiliko hayo wamekutana na wanajamii ili kuja na mbinu na...
Teknolojia ya kibenki itakavyowasaidia wafanyabiashara wadogo, kati Wakati Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ikiendelea kuhamasisha taasisi za kifedha kuja na bunifu mbalimbali zitakazowawezesha watu kukopa kirahisi na kuwaepusha na mikopo kausha damu, Benki ya...
Kipengele cha kuzuia ‘kusevu’ picha, video WhatsApp mbioni kuletwa Huenda ikawa habari njema kwa watumiaji wa mtandao wa WhatsApp katika kutunza siri na faragha zao kutokana na hatua mpya ya kuzuia kuhifadhi picha video na mazungumzo, iliyopo mbioni kuletwa.
Rais Samia atangaza msamaha wa viza kwa watalii wa Angola Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kuwa Tanzania imetoa msamaha wa viza ya kitalii kwa raia wa Angola wanaotaka kutembelea nchini humo. Hatua hiyo inatajwa kuwa itaongeza tija...
Shirika la Uvuvi laiangukia Serikali changamoto zake Shirika la Uvuvi Tanzania (Tafico), limesema kutokuwepo kwa bodi ya shirika, upungufu wa watumishi, mitaji ya uendeshaji miradi ni miongoni mwa changamoto zinazolikabili shirika hilo.
Kibano chaja kwa watumiaji majina feki mtandao wa X Wamiliki wa akaunti hizo wametakiwa kubadili maelezo ya akaunti zao kabla ya utekelezaji wa sheria hiyo mpya.
Akili Mnemba zitakazoongeza ufanisi wa kazi zako Kadri teknolojia ya Akili Mnemba (AI) inavyozidi kushika kasi duniani, matumizi ya zana zake kazini na katika maisha ya kila siku yamekuwa suluhisho kubwa kwa kuongeza ufanisi, ubunifu na kuokoa...
Ang’atwa na kunyofolewa mdomo na mchepuko wake Tukio hilo liliripotiwa katika Kituo cha Polisi cha Manyala, na Shisia anasubiri hatua zaidi za kipolisi dhidi ya mwanamke huyo.