Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1434 results for Janeth Joseph :

  1. Vijana waibua taharuki msibani kisa mwenzao aliyefia mahabusu

    Vijana hao hawakutaka kusikiliza mahaburi yaliyokuwa yakitolewa na kiongozi huyo wa kiroho wakidai kwa kupiga kelele wakitaka kuambiwa ukweli wa sababu za kifo cha mwenzao.

  2. Familia yakabidhiwa mwili wa aliyedaiwa kujinyonga mahabusu, kuzika Jumamosi

    Wakati maswali mengi yakiibuka kuhusu utata wa kifo cha Michael Rambau (18) anayedaiwa kujinyonga kwa kutumia mkanda akiwa mahabusu ya Kituo cha Polisi Moshi Kati, familia imekabidhiwa mwili kwa...

  3. Diwani kuwasaka watoto wenye ulemavu waliofichwa ndani

    Ikiwa zimepita siku tatu tangu kufunguliwa kwa shule nchini, diwani wa kata ya Rau, Manispaa ya Moshi, Stallone Malinda, amesema ofisi yake itaanzisha msako wa nyumba kwa nyumba kuwabaini watoto...

  4. PRIME Sintofahamu yaibuka aliyedaiwa kujinyonga akiwa mahabusu

    Mtuhumiwa kujinyonga akiwa mahabusu anakoshikiliwa na jeshi la polisi ni uzembe au bahati mbaya? Hili ni swali linalohitaji majibu ya kina kutokana na matukio ya namna hiyo kutokea kwa nyakati...

  5. Mtuhumiwa adaiwa kujiua kwa kujinyonga akiwa mahabusu

    Mkazi wa Mtaa wa Karikacha, Kata ya Rau, mkoani Kilimanjaro, Michael Lambau (18) anadaiwa kujiua kwa kujinyonga akiwa mahabusu ya Kituo cha Polisi Moshi kati alikokuwa akishikiliwa.

  6. Magari 21 yazuiwa kubeba wanafunzi Kilimanjaro

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limeyazuia magari 21 ya shule kuendelea na shughuli za usafirishaji wa wanafunzi, baada ya kubainika kuwa ni mabovu na hayako katika hali salama ya kusafirisha...

  7. Ndugu wa mke waliotaka kumdhulumu shemeji nyumba wafukuzwa

    Wananchi wa Mtaa wa Mashariki, Kata ya Muriet iliyopo Halmashauri ya Jiji la Arusha, wamefanikiwa kuwaondoa baadhi ya ndugu waliokuwa wakitaka kumfukuza shemeji yao baada ya mkewe kufariki dunia.

  8. Mama mdogo adaiwa kumjeruhi mwanaye kisa koti

    Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro, linamshikilia mwanamke mmoja, mkazi wa kiijiji cha Ongoma Kusini, kata ya Uru Kaskazini, Wilaya ya Moshi kwa tuhuma za kumjeruhi mtoto wa dada yake akidai...

  9. Wafanyakazi wa shamba la maua wagoma, kisa masilahi

    Mamia ya wafanyakazi wa shamba la maua la Vaso Agro-ventures Ltd, lililopo Kibosho, Wilaya ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro wamegoma kufanya kazi, wakishinikiza uongozi kupandisha mshahara kuendana...

  10. Wanu aelekeza Veta kusaka mapinduzi ya viwanda

    Amesema hatua hiyo ni sehemu ya mkakati mpana wa kuhakikisha vyuo vya Veta vinaendana na kasi ya mabadiliko ya teknolojia pamoja na mahitaji ya soko la ajira nchini.

Previous

Page 13 of 144

Next