Niffer mambo bado magumu, wenzake huru Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) ameendelea kuwafutia mashtaka washtakiwa wa kesi za uhaini, lakini mfanyabiashara wa vipodozi, Jenifer Jovin (26), maarufu Niffer, anaendelea kusalia...
Bidhaa zaanza kupanda bei kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka Kilimanjaro Wakati msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka ukikaribia, bei za bidhaa mbalimbali za vyakula, ikiwemo mchele, mafuta ya kupikia na maharage, zimeanza kupanda katika masoko ya Manispaa ya Moshi...
Zaidi ya watuhumiwa 200 vurugu za uchaguzi waachiwa huru Watuhumiwa wa makosa ya kuchoma moto, kuharibu mali za umma na unyang’anyi wa kutumia silaha wakati wa vurugu za maandamano siku ya uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025, wameachiwa huru katika mahakama...
PRIME IGP Wambura aonya polisi, ataka wananchi wasikubali kugawanywa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Camillus Wambura amewataka wahitimu wa mafunzo ya jeshi hilo kuepuka utendaji wa mazoea, huku akiwahimiza Watanzania kuimarisha upendo, umoja na mshikamano na...
Madiwani 72 wajitokeza CCM kuwania umeya, uenyekiti Kilimanjaro Jumla ya madiwani 72 kutoka Halmashauri sita za Wilaya na Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, wamejitokeza kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwania nafasi za...
PRIME Makada CCM katika vita mpya ya umeya, wenyeviti Wakati Chama cha Mapinduzi (CCM) kikitoa saa 48 kwa makada wake wanaotaka kuwania umeya na wenyeviti wa halmashauri nchini kuchukua na kurejesha fomu, mvutano wa kuwania nafasi hizo umeshika kasi.
Baba wa kijana aliyeuawa Israel asimulia alivyokosa usingizi kwa miaka miwili Wakati Serikali ikikabidhi mabaki ya mwili wa Joshua Mollel (21) aliyeuawa kwenye mapigano ya Israel na Palestina, baba mzazi wa kijana huyo, Loitu Mollel amesimulia namna alivyokosa usingizi kwa...
Wabuni mfumo masoko ya mazao kudhibiti madalali Taasisi ya Sotech imetengeneza mfumo wa kisasa wa kusaidia wakulima kuuza mazao yao kwa njia ya mtandao, ili kusaidia wakulima kuondokana na changamoto ya soko na ukosefu wa taarifa zake sahihi.
Hii ni ishara msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka zimewadia Kama ilivyo kawaida kwa baadhi ya watu wa makabila wakiwamo Wachaga kurejea makwao wakati wa sikukuu za mwisho wa mwaka, tayari dalili za msimu huo zimeanza kushuhudiwa katikati ya mji wa Moshi...
PRIME Maisha yarejea baada ya hekaheka ya siku sita yako kwa kuwa mtu amezoea kutoka kila siku, sasa akishinda nyumbani anaona mambo tofauti,” alisema James. Imeandikwa na Aurea Simtowe (Dar), Filberty Rweyemamu (Arusha) na Janeth...