Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1434 results for Janeth Joseph :

  1. Bweni Shule ya Sekondari Mkuu Rombo lateketea kwa moto

    Katika tukio hilo, mali zote za wanafunzi ziliteketea kwa moto ikiwemo magodoro 91, vitanda 46, nguo, madaftari na vifaa vingine vya matumizi binafsi.

  2. Mgombea ubunge CCM aahidi kuboresha mazingira ya kazi kwa vijana wa Bodaboda, Bajaji Moshi Mjini

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Moshi Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ibrahim Shayo, amesema kuwa endapo atapata ridhaa ya wananchi kuwakilisha bungeni, atahakikisha vijana wanaofanya kazi ya...

  3. Usafiri mikoani, Dar-Zanzibar kusitishwa Oktoba 29

    Hata kwenye mitandao yao, ukitaka kukaa tiketi tarehe hiyo haikupi nafasi ya kuichagua.

  4. Profesa Mkenda aahidi kituo cha forodha Tarakea kufanya kazi saa 24

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Rombo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Profesa Adolf Mkenda ameahidi kuwa endapo ataaminiwa tena na wananchi kuendelea kuongoza kwa kipindi kingine cha miaka mitano...

  5. Mzimu wa ajali waliibua kanisa Katoliki Same

    Kwa mujibu wa kanisa, eneo hilo litakuwa mahali ambako kila msafiri ataweza kufika kusali kabla ya kuendelea na safari, kama njia ya kuomba ulinzi na baraka za Mungu barabarani.

  6. Profesa Mkenda amwombea kura Rais Samia akisema ameleta mageuzi makubwa ya elimu nchini

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Rombo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Profesa Adolf Mkenda, amesema kuwa mgombea urais wa chama hicho, Samia Suluhu Hassan, anastahili kuendelea kuiongoza nchi...

  7. Kampeni za udiwani Kirua Vunjo Magharibi zasitishwa kufuatia kifo cha mgombea

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesitisha shughuli zote za kampeni za uchaguzi wa udiwani katika Kata ya Kirua Vunjo Magharibi, Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro, kufuatia kifo cha mgombea...

  8. Mgombea udiwani Kirua Vunjo Magharibi afariki dunia

    Mgombea udiwani wa Kata ya Kirua Vunjo Magharibi, Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), John Kessy amefariki dunia leo, Oktoba 21, 2025.

  9. Mgombea udiwani Pasua aahidi kuwakwamua vijana kiuchumi

    Mgombea udiwani wa Kata ya Pasua, Jimbo la Moshi Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Barreh Farrah, ameahidi kuwa endapo atapewa ridhaa ya kuongoza kata hiyo, atahakikisha anawaunganisha...

  10. PRIME Nondo za maaskofu kuhusu amani

    Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk Alex Malasusa, na Askofu wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Stephano Musomba, wamewataka Watanzania kudumisha amani, utulivu na...

Previous

Page 18 of 144

Next