Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1434 results for Janeth Joseph :

  1. Profesa Mkenda aahidi kuboresha huduma za afya Rombo

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Rombo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Profesa Adolf Mkenda amesema endapo atachaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo hilo atahakikisha anaboresha Zahanati ya Kidale iliyopo...

  2. DC Rombo aonya walimu kufitiniana

    Mkuu wa Wilaya ya Rombo, Raymond Mwangwala, amewataka walimu wilayani humo kuacha tabia ya kusemana na kufitiniana kazini, badala yake waimarishe umoja na mshikamano ili kuongeza ufanisi katika...

  3. Shule ya Mashati kuunganishwa na nishati safi ya kupikia

    Hatua hiyo inalenga kuunga mkono jitihada za Serikali za kupunguza matumizi ya kuni na mkaa katika taasisi za elimu, kwa lengo la kulinda misitu na kuboresha afya za watumiaji kupitia nishati...

  4. Mwili mgombea ubunge CUF kuzikwa kesho Siha

    Mwili wa aliyekuwa mgombea ubunge wa Chama cha Wananchi (CUF) Jimbo la Siha, mkoani Kilimanjaro, Daudi Ntuyehabi (34) umeshindwa kusafirishwa kwenda kuzikwa kijijini kwao Kumlungwe, wilayani...

  5. Wanafunzi Rombo watengeneza mfumo wa upigaji kura kidijitali

    Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mashati iliyopo wilayani Rombo, mkoani Kilimanjaro, wametengeneza mfumo wa upigaji kura kwa njia ya kidijitali unaolenga kurahisisha mchakato wa upigaji kura kwa...

  6. Waliotembea kilomita 70 kufuata huduma kujengewa kituo cha afya

    Same. Serikali imetoa zaidi ya Sh629 milioni kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya cha Vunta, wilayani Same, mkoani Kilimanjaro, hatua inayotarajiwa kupunguza changamoto ya wananchi kutembea...

  7. Msiba wa mgombea ubunge wa CUF ulivyogeuka jukwaa la kusisitiza amani

    Mwili wa mgombea huyo umeagwa leo Oktoba 11, 2025 nyumbani kwake, Kijiji cha Kilingi, Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, kabla ya kusafirishwa kwenda kijijini kwao Kumlungwe, Wilaya ya Kakonko...

  8. VIDEO: Moto wateketeza vyumba 12 vya makazi ya watu Moshi

    Moshi. Moto ambao chanzo chake hakijajulikana umeteketeza vyumba 12 vya makazi ya watu pamoja na vyumba viwili vya biashara katika Mtaa wa Dar es Salaam Manispaa ya Moshi mkoani...

  9. MUWSA yawaita wakazi wa Moshi kujiunga na mtandao wa maji taka

    Tangu kuanzishwa kwake mwaka 1999, mtandao wa maji taka wa MUWSA umeongezeka kutoka kilomita 13 hadi kufikia kilomita 102, huku idadi ya wateja ikipanda kutoka 300 hadi zaidi ya 3,700.

  10. Mwili wa mgombea ubunge CUF aliyeuawa kuzikwa Oktoba 11 Kigoma

    Mwili wa aliyekuwa mgombea ubunge wa Chama cha Wananchi (CUF) katika Jimbo la Siha, mkoani Kilimanjaro, Daudi Ntuyehabi, unatarajiwa kusafirishwa kesho, Oktoba 10, 2025, kuelekea kijijini kwao...

Previous

Page 19 of 144

Next