Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1434 results for Janeth Joseph :

  1. PRIME Simulizi mgombea ubunge alivyouawa Siha

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Siha kupitia Chama cha Wananchi (CUF) mkoani Kilimanjaro, Daudi Ntuyehabi, ameuawa na wananchi baada ya kudaiwa kumjeruhi kwa kisu mwenzake, Abdul Mohamed, wakati...

  2. Kunambi: Wanawake tusitishwe, tujitokeze kwa wingi kupiga kura

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT), Suzan Kunambi amewataka wanawake nchini kutoogopa vitisho vinavyotolewa na baadhi ya watu kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, mwaka...

  3. INEC yasitisha kampeni kifo cha mgombea ubunge wa CUF Siha

    Kutokana na kifo cha aliyekuwa mgombea wa ubunge wa Jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Daudi Ntuyehabi, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesitisha shughuli...

  4. Simulizi ya familia ya mgombea ubunge CUF aliyeuawa

    Familia ya mgombea ubunge kupitia Chama cha Wananchi (CUF) katika Jimbo la Siha, Daudi Ntuyehabi, ambaye amefariki baada ya kushambuliwa na kundi la watu zaidi ya wanane, imeeleza ilivyopokea...

  5. Mgombea ubunge CUF auawa, wanane washikiliwa wakituhumiwa kuhusika

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Siha, kupitia Chama cha Wananchi (CUF) mkoani Kilimanjaro, Daudi Ntuyehabi ameuawa na wananchi baada ya kudaiwa kumchoma mwenzake kisu, Abdul Mohamed wakati akiamua...

  6. Wawili wafariki kwa kuzama maji mkoani Kilimanjaro

    Watu wawili wamefariki dunia katika matukio mawili tofauti baada ya kuzama kwenye mito ya Kifaru na Mamba, mkoani Kilimanjaro wakati wakijaribu kuvuka pembezoni mwa mito hiyo.

  7. DC Rombo: Watafiti chunguzeni uhusiano wa kahawa, maisha marefu

    Mkuu wa Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, Raymond Mwangwala ametoa wito kwa watafiti nchini kufanya utafiti wa kisayansi kuhusu uhusiano uliopo kati ya matumizi ya kahawa na umri wa kuishi kwa...

  8. Bweni lingine lateketea kwa moto Kilimanjaro, wanafunzi zaidi ya 90 wanusurika

    Zaidi ya wanafunzi 90 wa Shule ya Sekondari Mkuu iliyopo Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro wamenusurika kuungua baada ya bweni walilokuwa wakilala kuteketea kwa moto leo Oktoba 6, 2025 wakati...

  9. Wanafunzi wa sekondari Moshi wabuni mbinu za kukabiliana na uharibifu wa mazingira

    Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Ufundi Moshi (Moshi Technical) mkoani Kilimanjaro, wamebuni njia mbadala ya kukabiliana na uharibifu wa mazingira kwa kutumia taka za plastiki shuleni hapo...

  10. Mrajisi wa ushirika ahimiza ubunifu masoko ya kahawa, uzalishaji

    Mrajisi wa vyama vya ushirika nchini, Dk Benson Ndiege amewataka wadau wa sekta ya kahawa nchini kuongeza ubunifu katika eneo la masoko ili kuongeza thamani na matumizi ya kahawa ya Tanzania...

Previous

Page 20 of 144

Next