Rais Samia aeleza sababu kuifungua Dodoma Rais Samia Suluhu Hassan ametaja umuhimu wa kujengwa kwa miundombinu ya kisasa katika Jiji la Dodoma, akiwahimiza wananchi kuitumia miundombinu hiyo kuboresha na kukuza shughuli zao za kiuchumi.
PRIME Ni bajeti ya kimkakati inayomuakisi Mtanzania Serikali imewasilisha bajeti ya kimkakati kwa mwaka wa fedha 2025/26, ikilenga kuiweka nchi katika nafasi imara ya kisiasa, kiuchumi na kijamii.
Deni la Taifa lafikia Sh107.7 trilioni, nchi bado inakopesheka Wakati pato halisi la Taifa likifikia Sh156.6 trilioni mwaka 2024 kutoka Sh148.5 trilioni mwaka uliotangulia, hadi kufikia Machi 2025, deni la Taifa limefikia Sh107.7 trilioni kutoka Sh91.7...
Sekta tatu zilivyobeba uchumi mwaka 2024 Wakati pato halisi la Taifa lilifikia Sh156.6 trilioni mwaka 2024 kutoka Sh148.5 trilioni mwaka uliotangulia, sekta tatu pekee zimetajwa kuchangia takribani nusu ya pato hilo.
Miradi ya maendeleo kulamba Sh19.4 trilioni mwaka 2025/26 Fedha hiyo ni ongezeko kutoka Sh15.95 trilioni sawa na asilimia 31.7 ya bajeti kuu ya Serikali ya Sh50.29 iliyotumika mwaka 2024/25.
Wakulima wa mwani kujifunza mbinu mpya Ufilipino Wakati mauzo ya zao la mwani nje ya Tanzania yakipanda na kushuka, wakulima kutoka Tanga, Kilwa na Zanzibar wamepelekwa nchini Ufilipino kujifunza namna ya kuongeza uzalishaji na kukabiliana na...
Samia apokea Sh1.028 trilioni za gawio, atoa mbinu kwa mashirika Gawio hilo ni kutoka taasisi ambazo Serikali ina hisa chache na mashirika yanayochangia asilimia 15 ya mapato yake ghafi.
Gawio la Sh38.8 bilioni kutoka Nida lazua minong’ono Nida imeungana na mashirika mengine yaliyo chini ya Msajili wa Hazina kutoa gawio lake lakini yenyewe ikitoa asilimia 15 ya mapato ghafi kwa sababu haijiendeshi kibiashara.
Tanzania kusaka miradi 1,500 ya uwekezaji mwaka 2025 Teri amesema ili kufikia lengo lililowekwa, wameweka kipaumbele katika kuhudumia wawekezaji waliopo kwa ukaribu na kutatua changamoto zao.
Wafanyabiashara walia kufungwa mtandao wa X Licha ya kutokuwa tayari kutaja majina yao lakini walilaani kitendo hicho huku wakieleza kuwa kinawarudisha nyuma kiuchumi kwani mtandao huo ulikuwa sehemu ya mapato wanayoyategemea kila mwezi.