Bara kama Zanzibar, bima ya watalii ikibisha hodi Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amependekeza kufanyika kwa marekebisho kwenye Sheria ya Bima, Sura 394 ili kuanzisha bima ya usafiri kwa wageni wanaoingia hapa nchini kwa kiwango cha dola za...
Kicheko kwa bodaboda kodi ikipungua Idadi ya pikipiki zinazojihusisha na biashara ya kubeba abiria, maarufu kama bodaboda, huenda ikaongezeka maradufu kufuatia hatua ya Serikali kupunguza kwa asilimia 50 ada ya usajili wa vyombo...
Utafiti wabaini ukata kukwamisha watu kuzaa Ripoti mpya ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu (UNFPA) imeonesha watu wengi wanashindwa kuwa na idadi wanayoitaka ya watoto kwa sababu ya hali ngumu ya uchumi.
Miradi 100 ya utafiti na ubunifu kuwasilishwa Maonyesho makubwa yanatarajiwa kuonesha zaidi ya miradi 100 ya kitaaluma na ubunifu, ikiwa ni pamoja na suluhisho bunifu katika nyanja za afya, kilimo, mazingira, elimu, teknolojia ya habari...
Rais Samia: Utumishi wa dini ni ule unaoijenga jamii Rais Samia Suluhu Hassan amelipongeza Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) kwa wazo la kujenga kituo kwa ajili ya watoto wenye uhitaji maalumu huku akieleza kuwa, huo ndiyo utumishi wa...
Chalamila ataka taasisi za dini zikaguliwe mara kwa mara Kwa mujibu wa Msajili wa Jumuiya za Kiraia, Emmanuel Kihampa ni kile kilichoelezwa kanisa hilo limekiuka Sheria ya Jumuiya Sura ya 337, kwa kutoa mahubiri yenye mwelekeo wa kisiasa na nia ya...
Majaliwa aonya dhidi ya chokochoko za kisiasa Ametoa rai kwa vijana kuitambua mbinu hiyo mapema na kujiepusha kushiriki katika harakati zozote zinazoweza kuhatarisha utulivu wa nchi.
PRIME Damu nzito kuliko maji, viungo vya binadamu vilivyogundulika baada ya choo kuziba Simulizi ya namna marehemu alivyotoweka ilielezwa na shahidi wa tatu, Nickson Kweka, ambaye alieleza kuwa alitoka Mkoa wa Kilimanjaro na kuhamia Dar es Salaam mwaka 2008 ambako aliishi kwa ndugu...
PRIME Pengo aliloacha Ngugi wa Thiong’o Mwanafasihi huyu anatajwa kama mwanamapinduzi aliyesimama imara kupinga fikra za kikoloni zilizotawala kwenye vichwa vya Waafrika walioshika hatamu baada ya kukoma utawala wa wakoloni.
Viongozi wa dini watoa neno suluhu ya mashauri ya ndoa Wakati Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu ikija na mkakati wa kushughulikia mashauri ya ndoa kwa kutenga fungu kwa ajili hiyo, viongozi wa dini wameshauri nguvu...